Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini.
Moja ya habari iliyoripotiwa ni hii kutoka gazeti la Mtanzania yenye kichwa cha habari ‘Serikali yasistisha ajira zote’
#MTANZANIA Serikali imesitisha kwa muda utoaji wa ajira ili kupitia upya muundo wa Serikali na taasisi zake pic.twitter.com/186A4Dw3Ux
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
Gazeti hilo la Mtanzania limeripoti kuwa Serikali imesitisha ajira zote kama njia ya kukabiliana na wimbi la watumishi hewa. Kutokana na uamuzi huo hivi sasa hakuna nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa Serikali na wakala zake pamoja na utoaji wa vibali vya likizo ya bila malipo.
Gazeti hilo limezungumza na Katibu Mkuu utumishi, Dk. Laurean Ndumbaro ambaye amesema kuwa Serikali imesitisha kwa muda utoaji wa ajira ili kupitia upya muundo wa Serikali na taasisi zake.
Aidha Dk. Ndubaro alisema utekelezaji wa mkakati huo utakwenda sambamba na kusitisha kwa muda utoaji wa vibali vya ajira mbadala pamoja na uidhinishaji wa ajira hizo zilizopo Sekreterieti ya ajira katika utumishi wa umma na kwenye mfumo wa taarifa za kiutumishi.
>>>‘Ni kweli tumesitisha kwa muda ili kupitia mfumo wa Serikali na hata kuangalia ulipaji wa mishahara kama upo katika malipo stahiki‘
Aliongeza pia muundo mpya wa utumishi wa Serikali unakwenda sambamba na uhakiki wa malipo ya mishahara, hivyo ni lazima ujue nani unayemlipa kuliko hivi sasa.
#NIPASHE Kuanzia leo mabasi yaendayo haraka Dar, yataanza kutoa huduma kwa abiria kwa mfumo wa kadi pic.twitter.com/poByqfa2u5
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#NIPASHE Wabunge CCM waigomea Serikali kuongeza viwango vya usajili wa pikipiki kutoka sh 45,000 hadi sh 95,000 pic.twitter.com/As8cZGOQ5m
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#NIPASHE CCM imesema hawahusiki na ujio wa TB Joshua na wamevitaka vyama vya upinzani kukubali vilishindwa uchaguzi pic.twitter.com/nvsMDBh3OI
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#MWANANCHI Polisi K'njaro watawanya mahafali mengine ya vyuo vikuu kupitia umoja wa CHADEMA 'CHASO' pic.twitter.com/RCRYR9bmKZ
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#MWANANCHI Watu watatu wamefariki dunia Morogoro baada ya kula mihogo inayodhaniwa kuwa na sumu pic.twitter.com/8ZQ1Y0biLR
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#NIPASHE Serikali imesema kuwa ugonjwa wa ajabu ulioibuka Chemba, Kondoa na kusababisha vifo vya watu saba si Kimeta pic.twitter.com/s5XCPQX2pS
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#NIPASHE Imefahamika kuwa kuchelewa kumalizika kwa Kipindupindu Z'bar kunatokana na jamii kutokubali kubadilika pic.twitter.com/9Vn4K6Zvx0
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#JamboLEO Imebainika mafuta ya taa yameadimika mikoa kadhaa ikiwamo Dar, kanda ya kaskazini, Moro, Mwanza, Mtwara pic.twitter.com/MqTQiNcYDe
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#MTANZANIA Serikali imesitisha kwa muda utoaji wa ajira ili kupitia upya muundo wa Serikali na taasisi zake pic.twitter.com/186A4Dw3Ux
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#MTANZANIA Maalim Seif Sharif Hamad amemaliza ziara yake nchini Marekani na kuelekea Canada pic.twitter.com/FzBjNzR9PD
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#MAJIRA Naibu Spika, Dk Tulia amesema serikali kuajiri watumishi 30,000 sekta ya afya bajeti ya mwaka 2016/17 pic.twitter.com/PbaeA5Ndeq
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#HabariLEO Helikopta ya kwanza iliyoundwa Tanzania inatarajiwa kuruka rasmi ktk wiki ya kwanza ya mwezi ujao pic.twitter.com/cnv0yb8Trs
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#MWANANCHI Serikali imependekeza maboresho sita sheria ya manunuzi iliyolenga kuongeza ufanisi ktk taasisi za umma pic.twitter.com/2LjTYcbRud
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#MWANANCHI Serikali kuanzisha mamlaka ya udhibiti, usimamizi ujenzi wa majengo ili mpangaji apate sehemu ya kusemea pic.twitter.com/GkYaRwnIyH
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#MWANANCHI Utafiti: Idadi kubwa ya watoto duniani wanatumia muda mwingi kuangalia picha za ngono mtandaoni pic.twitter.com/q04KSv9JsA
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
#HabariLEO Zaidi ya tani 400 za sukari kuingia sokoni leo mikoa ya kaskazini baada ya TPC kuanza uzalishaji pic.twitter.com/Uir7gd30yI
— millardayo (@millardayo) June 20, 2016
ULIKOSA KUANGALIA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JUNE 20 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE