Ni safari ya mwisho ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga aliyefariki dunia Januari 21, 2021 mkoani Tabora.
Jenerali Maganga amezikwa Leo mkoani Morogoro katika Kijiji cha Kinke, Maganga alifariki Dunia Januari 21, 2021 saa tatu usiku katika Hospitali 3Jeshi Milambo Tabora huku ikidaiwa chanzo cha kifo chake ni Presha na Kisukari ambacho kilipelekea moyo wake kufeli.