Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Abdallah Bulembo amelalamikia hatua mbalimbali zinazofanywa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kuendesha oparation za kukamata wavuvi bila mpangilio ambapo ameomba Bunge kuunda tume ya uchunguzi.
“Wavuvi wa Tanzania leo wapo kwenye utumwa, hawa watu ni kilio tena kilio sio kidogo ni kikubwa. Watu wamejinyonga, watu wamepigwa risasi kwenye operation hii hatari ni kubwa na wana CCM tutaenda kuomba kura lakini tutaomba vipi hizo kura watu wanateswa kwa operation za hajabu?” –Abdallah Bulembo
Maagizo ya Serikali kwa wakuu wote wa mikoa na wilaya