Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM taifa ndugu Sameer Murji Kutokea Mkoa wa mtwara *Sameer Murji* ametoa ahadi ya kuwalipia Ada vijana wenzake wa UVCCM Mkoani humo kuwapeleka Mkoani Njombe kwa Mafunzo ya Ujenzi kupitia taasisi ya (INSTITUTE CONSTRACTION OF TECHNOLOGY).
Lengo kubwa ni kuwawezesha vijana wa Mtwara kuwa na ujuzi utakao wakwamua katika maisha.
Mbaraza Sameer ameanza na utekelezaji wa ahadi yake kwa kumpeleka kijana mmoja kutoka Wilaya ya Tandahimba kama sehemu ya kuendelea kuishi dira ya Uvccm Mkoa (Siasa na Uchumi).