Leo March 29, 2018 Taasisi ya TWAWEZA imetoa ripoti yake kuhusu tafiti mbalimbali walizofanya nchini ambazo zimelenga katika nyanja ya Kisiasa, Uchumi na Kijamii millardayo.com nakusogezea baadhi ya vipengele vya utafiti huo.
Utafiti mpya uliotolewa, umebaini kuwa asilimia 60 ya wananchi, hawajisikii huru kukosoa Taasisi ya Rais, huku asilimia 54 hawajisikii huru kumkosoa Makamu wa Rais.
Utafiti wa TWAWEZA, umeonesha wananchi wana imani kubwa na taarifa zinazotolewa na Rais (70%) na Waziri Mkuu (64%) Mwenyekiti wao wa kijiji (30%).
Utafiti wa TWAWEZA, umeonesha wananchi wana imani kubwa na taarifa zinazotolewa na Rais (70%) na Waziri Mkuu (64%) Mwenyekiti wao wa kijiji (30%).#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/2HaeEh0T5Y
— millardayo (@millardayo_) March 29, 2018
TWAWEZA wamesema utafiti wao umeonesha karibu nusu ya wananchi hawajisikii huru kuwakosoa Mawaziri (47%), Wakuu wa Mikoa (46%) na Wakuu wa Wilaya (43%).
TWAWEZA wamesema utafiti wao umeonesha karibu nusu ya wananchi hawajisikii huru kuwakosoa Mawaziri (47%), Wakuu wa Mikoa (46%) na Wakuu wa Wilaya (43%).#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/rDDHsiO1JF
— millardayo (@millardayo_) March 29, 2018
‘Wananchi wana imani na Wabunge wa chama Tawala kwa 26% huku kwa Wapinzani ikiwa 12% na Viongozi wa Serikali kwa ujumla kwa 22%’ -TWAWEZA
‘Wananchi wana imani na Wabunge wa chama Tawala kwa 26% huku kwa Wapinzani ikiwa 12% na Viongozi wa Serikali kwa ujumla kwa 22%’ -TWAWEZA#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/k9ZhrMX0p6
— millardayo (@millardayo_) March 29, 2018
“Nusu ya Watanzania hawajisikii huru kumkosoa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu” -TWAWEZA
“Nusu ya Watanzania hawajisikii huru kumkosoa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu” -TWAWEZA#MillardAyoUPDATES
— millardayo (@millardayo_) March 29, 2018