Leo September 9, 2019 Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela amewaasa vijana 70 waliokopeshwa pikipiki na Halmashauri ya Jiji hilo kuzitumia katika njia sahihi ili kujipatia kipato.
ROBERT MUGABE MAPENZINI NA SALLY KABLA YA GRACE MUGABE, MKE WA KWANZA