Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia an Maendeleo (CHADEMA) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe amelaani kitendo cha baadhi ya vijana kuvamia na kufanya vurugu katika mkutano wake wa mwisho aliofanya eneo la Kikavuchini.
Kundi la vijana ambao hawakufahamika mara moja wapi wametoka walivamia mkutano wa Mbunge Mbowe na kuanza kuimba nyimbo mbalimbali katika eneo hilo la mkutano.
BREAKING: ASKOFU GWAJIMA AKAMATWA NA POLISI KISA UCHOCHEZI