BASATA imesema haimtambui Amber Rutty kama msanii na hajasajiliwa kufanya shughuli za sanaa kama msanii binafsi au msanii katika kikundi, Baraza limelaani kitendo cha picha zake za faragha kuonekana hadharani na linaamini mamlaka zinazosimamia sheria za mitandao zitachukua hatua.
RAIS MAGUFULI “SISI TANZANIA TUNAWATHAMINI SANA WAKENYA”