Mbunge wa Jimbo la Rorya Jafari Chege mefunguka kuhusu sakata la Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Abdul Mtaka kudaiwa kuonesha dharau wakati akiulizwa maswali na wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa.