Ni Julai 28, 2023 ambapo Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa anazungumza muda huu kupitia kipindi cha Clouds360 kinachorushwa Clouds TV.
“Jambo hili kisheria halina tatizo lolote, ila huko nje kuna mtu anaweza kuamua tu kusema bila kufuata sheria na utaratibu ili azue taharuki. Hataki kujua umuhimu wa kusikiliza wengine kiasi cha kuingilia mamlaka ya habari,” Jerry Silaa Mbunge Ukonga.
“Nimeanza kusema kwa sababu kuna watu wanapotosha umma. Jambo hili halina tatizo, ila huko nje kuna watu hawataki kuelewa umuhimu wa kufafanua jambo.” Jerry Silaa Mbunge Ukonga.