RC Paul Makonda akiomba msamaha katika ibada ya kuuaga mwili wa Dr. Mengi “Namshukuru Katibu Mkuu kwa kuomba radhi kwa niaba yangu, hakika ni upendo wa hali ya juu, nafikiri labda tafsiri ndiyo ilikuwa shida, nimemsifia Mchaga mbele ya Wachaga wenzake, nitaendelea kuuenzi na kuheshimu mchango wa Dr. Mengi katika kuhudumia watu wenye ulemavu katika Mkoa wa DSM”