Udambwi dambwi wa Mbwiga wa Mbwiguke ndiyo unaohitimisha Sports Extra ya Clouds Fm,leo Mbwiga kazungumzia timu ya Taifa katika mechi ya kipindi cha nyuma ambayo imewahi kucheza na Misri mwaka 1987,sasa sikiliza kikosi kilivyokuwa kwa timu ya taifa ya Tanzania,na matokeo ya mechi hiyo.
88.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tabora.
Bonyeza play kusikiliza.