Mwanza wamekuja na Teknolojia mpya ya Parking ya magari ambayo itatumika kwa wenye magari kulipia kwa mtandao, halafu kitu kipekee cha kisasa ukipaki gari lako unauwezo wa kuona kinachoendelea kutakuwa na camera kabisa, Injinia Koyoya Fuko ni Mratibu wa TARURA Mwanza.