Leo April 2, 2019 Malkia wa nguvu Nellsiga Minga (19) wa Mbeya amechagua kuwa Fundi wa magari katika gereji ya Augustino Sanga ambapo amekuwa Mwanamke wa kwanza kuanza kazi hiyo eneo hilo na hata kumvutia Msichana mwingine.
Nellsiga anasema kwasasa anaweza kutengeneza injini yote, kuifungua na kuipandisha na gari inatembea kama kawaida.
AJALI MPAKANI MWA RWANDA NA TANZANIA WAMEFARIKI WAWILI, 35 WAJERUHIWA