Wafanyabiashara wa Maduka katika eneo la Ranger Safari Arusha wamefunga maduka yao na kuandamana mpaka ofisi ya Mkurugenzi wa jiji kushinikiza kuondolewa kwa Machinga wanaopanga biashara mbele ya Maduka yao na kusababisha wao kukosa biashara.
Wanasema kimsingi hawawachukii Machinga kufanyabiashara lakini wamekerwa na hatua ya Machinga kupanga biashara mbele ya Maduka yao na kusababisha msongamano mkubwa wa Watu na magari.
TAZAMA WAREMBO WAKIMBIZI WAKISHINDANA U-MISS, WANAUME FASHION