Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni linawashikilia raia wawili wa Congo kwa tuhuma za kumuuzia madini feki ya Dhahabu Mwanamama raia wa Brazil.
Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, ACP Mussa Taibu amesema raia hao wa Congo wapo nchini kihalali ambapo pia wana Kampuni ya Ukopeshaji na Madini.
“Walimpeleka raia huyo ofisini kwao kwa ajili ya kumuonyesha Dhahabu hizo ambazo kwa macho ya kawaida unaweza kuamini ni madini,” RPC Taibu
KUTEKWA ANAEDAIWA MSAIDIZI WA ZITTO KABWE, POLISI “HATUNA UTHIBITISHO”