Mechi kati ya Klabu ya Yanga na Simba iliyokuwa ichezwe Oktoba 18, 2020 imesogezwa mbele hadi Novemba 7 kutokana na uwezekano wa kuwepo kwa vikwazo vya usafiri kwa wachezaji wa Kimataifa kutokana na kalenda za FIFA
–
Taarifa ya Bodi ya Ligi Kuu imesema kutokana na janga la Corona Virus, nchi Duniani bado zimeweka masharti mbalimbali kuweza kudhibiti maambukizi.
Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele

Leave a comment
Leave a comment