Jeshi la polisi Mkoani Arusha limetoa taarifa nyingine kuhusu kifo cha mfanyabiashara wa madini Ruth Mmasi aliyeuawa na kisha mwili wake kutupwa kwenye shimo ambapo kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha Justine Masjeo amesema mtuhumiwa ametoa ushirikiano nakuwezesha kupatikana kwa vielelezo vinavyohusiana na kesi hiyo.