Mahakama kuu Arusha imemnyang’anya eneo la hekari saba mfanyabiashara Dkt Philemon Mollel baada yakubainika alichukua eneo hilo kinyume na sheria ambapo eneo hilo lilikuwa na kituo kituo cha mafuta pamoja na biashara nyingine ambazo zilifunguliwa na mfayabiashara huyo.
Baada ya mahakama kuu kutoa hukumu hiyo familia ya Taitas Mollel ilimuondoa kwenye eneo alilokuwa mfanyabiashara Dkt Philemon mollel aliyekuwa amewekeza kituo cha kuuza mafuta na biashara nyingine kwenye eneo hilo alilokuwa ameliendeleza.
KIJANA WA KITANZANIA AMPA TALAKA ‘MZUNGU’ MAHAKAMA YATENGANISHA NDOA “ANA MIAKA 60”
https://www.youtube.com/watch?v=JY0nDWaBRPk&t=43s