Jeshi la Polisi Mkoani Arusha likimshikilia kijana mmoja Patrick Mmasi mkazi wa Njiro, Kontena.
Kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi ,Ruth Mmasi ambaye ni mfanyabiashara wa Madini na kisha mwili wake kuutumbukiza kwenye chemba la choo katika nyumba yake.