“Frog Frog Ramen” , chakula cha hivi karibuni kwenye menyu ya mgahawa wa ramen wa Taiwan Yuan Ramen na hivi majuzi ilienea post kwenye mitandao ya kijamii ikionesha chura mkubwa ambaye kwenye bakili iliyo na supu na tambi.
Duka la Yulin lilichapisha hivi majuzi tu picha za menyu hiyo ya kushangaza, ikiwauliza mashabiki kupendekeza majina yake kwenye Facebook na pia ilitangaza kuwa ain aya chakula cha tambi ya chura itapatikana Jumanne na Jumatano usiku, kwa idadi ndogo sana,na kwa bei ya dola$8 sawa na tsh elfu 19 za kitanzania kwa bakuli.
Lakini ikiwa unataka tu kuingia na kuchukua picha za chakula hicho[ rameni ya chura], unaweza kufanya hivyo kwa Tsh 7,169 pekee ($3.20).