Kwenye hekaheka Kuna mtoto amepotea Kawe, Dar. Baada yakutafutwa kwa muda mrefu bila mafanikio Mama wa mtoto akaamua kumuita Mganga wa kienyeji ili kupata msaada, moja ya tukio lililowashangaza watu ni kitendo cha mganga huyo kushindwa kumpata mtoto na kudai waliomshikilia wana nguvu zaidi.
Mama wa mtoto anazungumziaje tukio zima? “mtoto wangu alikuwa anatoka madrasa saa 2 usiku ukiwa na wenzake, baada ya muda aliwaambia wenzake anaenda chooni baada ya hapo hakurudi tena”
“Tumemtafuta kila mahali hadi Polisi lakini hajapatikana, wataalam (waganga) wanakuja kila siku na leo wamekuja, nimeambiwa mtoto yupo hapahapa mtaani lakini waliomshikilia wana nguvu kubwa hivyo wanamsumbua”
Kwenye hii sauti kuna full stori, ni ruksa kuisikiliza
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagramb na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE