Good Morning mtu wa nguvu, leo ni April 15 2017 na kama ilivyo kawaida yangu ya kila siku alfajiri nimekusogezea habari kubwa kwenye Magazeti kurasa za mwanzo na mwisho kuanzia ya Udaku, Hardnews na Michezo ili ujue kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu
Ulimiss hii Babu Tale aliniambia nisitembee na Madee, Niende Ya Moto Band itazame hii video hapa chini…