Kamanda Lazaro Mambosasa ameongea na AyoTV namnukuu “Tayari Askofu Gwajima ameitwa Polisi kwa ajili ya kuhojiwa na ataripoti kesho asubuhi, akichelewa atakamatwa na tumemuita sababu hakuna aliyelalamika lakini tumeona ni kitendo cha ukiukwaji wa maadili, awe Askofu awe Mtu wa kawaida ule ni unyama”.
RAIS MAGUFULI AKIFUTA MACHOZI BAADA YA KUUONA MWILI WA DR. MENGI KWENYE JENEZA