Mkazi wa Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, Hashim Omary ametoa kero wanazokumbana nazo mbele ya Rais John Magufuli na kudai watendaji wamemdanganya rais kwa kumpa twakwimu ambazo si za kweli kwani kuna miradi mingi ambayo haijatekelezwa na Serikali.
“Hapa kuna tatizo, jamani naomba nikalione hilo soko sasa hivi” aliongea Rais Magufuli