Mzee Omary Habibu mwenye miaka 71 ambaye ni Mkazi wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera ambaye alinusurika kukatwa koromeo mwaka 2015 kipindi vitendo hivyo vilipokuwa vimeshamili Mkoani humo na watu zaidi ya 20 waliuawa.
June 19, 2019 Washtakiwa watatu walikutwa na hatia katika mauji hayo, Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba iliwahukumu kunyongwa hadi kufa ambao ni Ngesera Joseph, Rashid Athuman na Aliyu Dauda.
Baada ya hukumu hiyo AyoTV na millardayo.com imempata Mzee Omary ambaye alinusurika ambapo anaeleza ilivyokuwa mpaka akanusurika na maoni yake baada ya Hukumu kutolewa.