Kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii, redioni na TV ni ripoti ya story kubwa ya mgomo wa mabasi ya abiria, nikasogea Kituo cha Mabasi Ubungo kuona hali ilivyo.
Vurugu kubwa zimezuka, yakachomwa matairi ya magari barabarani.. hakuna basi lolote la abiria kwenda mikoani lililokuwa limetoka wala hakuna daladala iliyokuwa ikipakia abiria katika eneo hilo.
Baada ya kuanza vurugu Polisi waliingilia kati na kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya.
Madereva hao wamegoma kutokana na sababu mbalimbali, mojawapo ni shu ya utaratibu wa kutakiwa kwenda Chuoni kusoma tena baada ya muda wa leseni zao kuisha.
Hakuna Stori itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook