Good morning mtu wangu..
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi Agosti 20,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko hapa
AYO TV:Diamond Platnumz Interview kuhusu DNA ya mtoto, msg za Wema na mengine
Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie