Khatija Juma (16) Mwanafunzi wa Kidato cha tatu Shule ya Sekondari Ndono Mkoani Tabora aliyebuni Application itakayomsaidia Mama Mjamzito kupata huduma ndani wakati na aliiwakilisha katika Mahindano ya Msichana na TEHAMA kwa Mtoto wa kike kati ya miaka 13-19 yaliyofanyika April 25 nchini Ethiopia, amerudi na ujuzi na anatamani kuwapa Wanafunzi nchini.
“Kule tumeongezewa uelewa na wakatuambia kitu ambacho umekitengeneza usikiache hewani ukiendeleze na mpaka sasa kuhusu Application yangu kila kitu kipo tayari bado kuipeleka sokoni” Khatija