Naibu Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewasihi Wabunge watatu wa Muheza na Korogwe Mkoani Tanga kuwa wavumilivu kwani Serikali imejipanga kutatua changamoto za maji na tayari kiasi cha Dola Milioni 500 zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maji.
HISTORIA YA NELSON OLOTU, RUBANI ALIEFARIKI AKIWA NA MTOTO WA MKUU WA MAJESHI