Leo May 25, 2018 Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Kangi Lugola akijibu hoja za wabunge waliochangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2018/2019 kuhusu mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge.
“Nimesimama hapa kwa jambo moja tu!, ni kuhsus mradi mkubwa umeme ambao serikali inategemea kuutekeleza kwenye Bonde la mto Rufiji maarufu kwa jina la Stiegler’s Gorge, piga ua galagaza Serikali itatekeleza mradi huo” amesema Kangi Lugola