Mkuu wa Wilaya ya Longido Frank Mwaisumbe amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com kuelezea undani wa stori iliyoshika headlines leo October 5, 2018 ya Morani nane kujeruhiwa na Simba wakiwa porini.
DC Mwaisumbe amesema inavyoonesha Morani hao walikuwa wanawinda na si kukinga maji kama walivyoeleza.
https://youtu.be/fXAdJTvJZjs