Mbunge wa jimbo la Muleba kusini Prof. Anna Tibaijuka ametoa mchango wa kununua sare za jeshi la akiba kwa vijana zaidi ya mia moja waliomaliza mafunzo hayo jimboni kwake Kata ya Kalambi.
Akiongea na AyoTV na millardayo.com amesema kuwa kwa hali halisi wahuni, wahalifu na watekaji wamekuwa wengi hivyo watu wanatakiwa kuchukua tahadhari huku yeye akianza na mpango wa kuunda kampuni ya ulinzi.
LIVE MAGAZETI: Barua za madudu TRA zavuja, SAKATA LA TRIL. 1.5: BOT, CAG kikaangoni