Leo July 31, 2018 Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amemtaka Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ajisalimishe kwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi kwa kwenda kufanya Mkutano kwenye Jimbo lisilo lake na kutoa kauli za uchochezi.
Pia amemtaka IGP Sirro amuwajibishe Kamanda wa Polisi wilaya ya Kilwa kwa kushindwa kuchukua hatua dhidi ya Zitto Kabwe.
LIVE MAGAZETI: Waliomdhalilisha Jokate ”watapata tabu sana”, “Nawasha moto kumchoma Mbowe”