Leo May 21, 2018 Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesimama na kuuliza swali Bungeni kwa mara ya kwanza tangu atoke gerezani Ruanda, Mbeya May 10 alipokuwa akitumikia kifungo cha miezi mitano.
Mbunge Sugu amelielekeza swali lake katika Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano katika mkutano wa 11 kipindi cha maswali na majibu.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichozungumza Sugu kwa mara kwanza Bungeni akiuliza swali.
MAGAZETI: Moto waanza kuwaka kiti cha Mbowe CHADEMA, Ni zamu ya Dk. Kigwangalla