Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita Dr. Japhet Simeo ameeleza mbinu mpya walioibaini na imewasaidia kuwapima wananchi wengi maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI ikiwa ni sambamba na kueleza changamoto wanayoipata baada ya kuwabaini walioathirika.
Ameyasema hayo Mkoani Geita wakati akifungua semina ya mafunzo kwa Waandishi wa habari inayoendeshwa na Shirika la IntraHealth International chini ya ufadhiri wa Mfuko wa Rais wa Marekani wa kupambana na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kupitia CDC Tanzania.
MFAHAMU FISI MAJI “SUPU YAKE INAONGEZA NGUVU ZA KIUME”