Kufuatia safari za boti (DSM, Zanzibar) kusitishwa kutokana na upepo kuwa mkali baharini, Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Hamza Kabelwa amesema kuanzia leo hali ya upepo mkali itaendelea kupungua taratibu.
Kabelwa “Tarehe 19 mamlaka ya hali ya hewa ilifanya uchambuzi, baada ya kufanya tulitoa tahadhari ya upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa Baharini, hiyo hali ama ilivyotolewa inaendelea katika maeneo mbalimbali”
MO DEWJI atoa kauli baada ya kupumzika toka aachiwe