Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Dkt. Irene Isaka ametoa ufafanuzi namna ya utaratibu mpya wa ukokotoaji wa Mafao ya Wastaafu ambapo amesema upotoshaji mwingi unafanywa na watu ambao pengine hawana taarifa ya kutosha au uelewa wa namna utaratibu huo unavyofanywa na jinsi unavyolenga kumnufaisha mstaafu.
MTEJA HEWA WA MAJI MIKONONI MWA WAZIRI MBARAWA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZMA