Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kigoma Francis Mtui amefanya oparasheni ya kushtukiza katika Stendi kuu ya Mkoa kwa mabasi yanayofanya safari kutoka Mkoani Kigoma kwenda Mikoa mingine nchini nakukuta na Dereva mbishi aliyechukuliwa hatua za kinidhamu baada ya kujifanya mtaalamu wa magari mabovu, huku gari lake likiwa na makosa.