Xiaolian ni raia wa China alipata ajali ya barabarani iliyomfanya apoteze pua yake akiwa na miaka 22 tu. Kutokana na uwezo mkubwa wa kifedha aliokuwa nao aliamua kutafuta pua ya kupandikiza ili aweze kuonekana kama alivyokuwa mwanzo.
Daktari Bingwa wa Upasuaji Guo Zhihui alitumia miezi 9 kuipandikiza pua hiyo kama inavyoonekana kwenye picha kwa kutumia nyama na mifupa ya ubavu wa binadamu. Pua hiyo ilipandikizwa kwenye sehemu ya juu ya paji la uso ikielekezwa upande wa juu kwa sababu kuu mbili. Bonyeza PLAY hapa chini kuipata story yote
DC CHUNYA ATOA TAMKO KWA WALIOVAMIA MIGODI