Leo November 28, 2018 Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa alipotembelea kwenye Jimbo lake la Geita Vijijini.
Mbunge Musukuma “toka Uhuru wewe ndo Waziri Mkuu wa kwanza kuja Jimbo hili, tumetii sana kauli ya Rais hapa hakuna kuzaa kwa Uzazi wa Mpango Sisi tunazaa, mwenye Watoto wachache hapa ni 15”
ALICHOZUNGUMZA NAIBU SPIKA NA SUGU KATIKA MAZISHI YA ASKOFU CHENGULA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA
WAZIRI WA KAZI NA AJIRA AMESEMA SIO LAZIMA KUAJIRIWA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA