Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira January Makamba amefanya ziara katika eneo Mji wa Kiserikali ambapo zinajengwa Ofisi ya Wizara yake ili kujionea maendeleo pamoja na hilo Waziri Makamba ameongoza upandaji wa miti katika eneo hilo.
RC GAMBO AMSHUKIA MWENYEKITI WA CCM “KAMANDA WAKAMATENI WOTE”