Mahakama ya Wilaya ya Arusha imemuachia kwa dhamana Ibrahim Musa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA baada ya kufikishwa Mahakamani na kusomewa kosa la kumjeruhi Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kaloleni Idd Musa katika uchaguzi wa marudio katika uchaguzi wa marudio katika Kata ya Kaloleni August 12,2018.
Ubalozi wa Marekani Tanzania watoa ripoti yao juu uchaguzi Buyungu na Kata 79