Leo January 2, 2018 Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli amfurushe Waziri Jenista Mhagama katika Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu sababu na yeye alihamasisha kikootoo kipya.
“Morali kazini zimeshuka sababu ya mtu mmoja halafu bado yupo ofisini is not fair, Dada yangu namheshimu ila anapaswa kuwajibika katika hili sina chuki nae, Rais amfurushe kazini Waziri Mhagama au Waziri mwenyewe ajiuzulu sababu yeye ndie alietunga hizi kanuni na alizipigia debe Bungeni” Ester Bulaya
LIVE: ESTER BULAYA AMERUDI TENA NA ISHU YA KIKOKOTOO