Leo January 4, 2018 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola yupo Mkoani Kagera ambapo anafanya ziara ya kikazi katika Mkoa huo ambapo ameendelea kuwasisitiza Askari kutowakamata madereva wa bodaboda hovyo.
Akiongea na Wananchi Waziri Lugola amesema mnapo wanyanyasa wanakosa kufanya mambo yao sababu hata Mwanamke mzuri anapenda Mwanaume mwenye usafiri.