Leo July 26, 2018 Mabweni ya shule ya msingi St. Joseph Rutabo iliyopo Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera yameungua moto usiku wa kuamkia leo.
Kwa mjibu wa Afisa elimu mkoa wa Kagera Aloyce Kamamba amesema mwanafunzi wa darasa la tano ameungua na kufariki hapohapo lakini wengine wanaendelea kupatiwa huduma,