Leo July 23, 2018 Rais John Pombe Magufuli amemtaka Msajili wa Hazina , Athumani Mbuttuka kuhakikisha anatumia sheria aliyopewa na serikali pamoja na Bunge dhidi ya mashirika ambayo hayashiriki kwenye kujenga uchumi wa nchi haswa katika ulipaji kodi na utoaji wa gawio kwa serikali.
BREAKING: Watu watano wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa mauaji ya Bilionea Msuya