Leo July 22, 2019 Nakukutanisha na Dereva wa magari Kalvin Taylor ambae ana uzoefu mkubwa katika mashindano ya magari na anasifiwa kuwa na nidhamu, anatoka katika familia ya watu wa Rally, Baba yake na Mama yake wameshiriki sana kwenye mashindano ya magari.
LIVE: MAGUFULI AKOSOA “MIFUKO YA PLASTIKI ALISHINDWA NIKALAZIMISHA”