Leo August 21, 2018 Mtoto wa Mbunge wa Tarime Mjini Ester Matiko anasema kuna wakati anatamani Mama yake asingekua Mwanasiasa, ila kwasababu hana uwezo wa kumuachisha hiyo kazi anaishia tu kumwambia take care.
Akiongea katika Exclusive Interview na AyoTV amesema akiamka cha kwanza uanza kumuangalia Mama yake kama kaamka salama pia aliumia sana pale Mama yake alipopigwa wakati akitawanywa Polisi.