Leo December 12, 2018 Mahakama Kuu Kitengo cha Uhujumu Uchumi ‘Mahakama ya Mafisadi’ imemuhukumu kifungo cha maisha jela raia wa Ethiopia, Ana Moises Chissano baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya Cocaine Kg 3.03.
Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Lilian Mashaka ambapo amesem kwa mujibu wa kifungu cha 15(1)(b) cha sheria y kupambana na Dawa za Kulevya, kinasema anayepatikana na hatia adhabu yake ni kifungo cha maisha.
MTOTO WA MAMA LISHE ALIEAMUA KUSOMESHA WENGINE, KUWAJENGEA NYUMBA